Vile vile alichukuwa nafasi ya kumkaibisha Mwenye kiti wa Jimbo.
Mwenyekiti wa Jimbo la kikwajuni
MH: Mvita Kipendera akiwasalimia wana chama wa chama cha mapinduzi na kuwataka
wanachama kuwa wamoja katika uchaguzi mkuu wa 25 October na kutofanya makosa na
kuipoteza haki yao kwa kumchagua yule asie faa katika dira ya maendeleo.

MH:
Mgeni Rasmi: Bi Fatma Said Ali katika mkutano huo alizungumzia masuala ya Amani na Usalama katika kipindi cha
uchaguzi na kuwataka wananchi kuwa na Umoja Mshikamano katika kuhakikisha ya
kuwa chama cha mapinduzi kinabaki madarakani. Mh: Mgeni Rasmi aliendelea kwa
kuwanadi wagombea Ubunge, Uwakilishi pamoja na Udiwani vile vile kuwanasihi na
kuwataka Wagombea hao kuwa na Mshikiano ya hali ya juu zaidi ili kukipeleka
mbele chama cha mapinduzi.
Wagombea hao wa Ubunge na Uwakilishi
wakiwa wanahamu ya kuzungumza machache na wananchi wao wa jimbo la kikwajuni
katika tawi la raha leo.
Mh:
Mgeni Rasmi alianza na kumkaribisha Mgombea Ubunge Jimbo la kikwajuni:
PICHA 3
Mh:
Mgombea Ubunge tiketi ya chama cha mapinduzi Eng: HAMADI YUSSUF MASAUNI ambae
pia ni Mbunge Mstaafu wa kipindi cha miaka mitano iliyo pita alifurahishwa sana
na ujio wa wanachama wa chama hicho. Alizungumzia juu ya suala zima la ilani ya
chama na utekelezaji wake pamoja mafanikio makubwa katika kipindi cha miaka
mitano iliopita.
PICHA 4
ENG: Masauni aliendelea kwa kutoa
ufafnuzi juu ya mradi wa maji safi na salama ambao upo katika muendelezo wa
awamu ya pili, Vile vile alizungumzia juu ya ajira kwa vijana na kuupa nguvu mfuko wa elimu wa jimbo ambao unawasaidia
Mayatima, Familiya zisizijiweza na wale
ambao wamekosa mikopo ya elimu ya juu. Sihayo tu pia aliahidi kuyazingatia
maslahi ya Walimu wa Madrasa na muendelezo mzima wa Mashindano ya Kuhfadhi
Qur-an Tukufu.
Kwa kumalizia aliwataka wanachama na
wananchi wote wapenda maendeleo
kuwapigia kura ya ndio wagombea wote wa chama cha mapinduzi na kuwataka
kumpigia kura yeye mwenyewe ili
kuendelea na kuwaletea maendeleo katika jimbo lao.
PICHA5+6
Wanachama na wakereketwa wa chama
cha mapinduzi walihudhuria kwa wingi katika mkutano huo na kuwaahidi wagombea
wote kuunganao katika kila jambo.
PICHA 7
MH: NASSOR SALIM (ALJAZIRA) Alitilia
mkazo yale yote yaliyo ongelewa katika mkutano huo na kuwaomba wanachama kuwa kitu kimoja katika kukilinda chama cha
mapinduzi, vile vile aliahidi kuitekeleza ilani ya chama cha mapinduzi.
PICHA 8
Naye pia hakuwa nyuma katika suala
zima la kuwaombea kura wagombea wote wa ccm kuanzia ngazi ya Urais, Ubunge,
Uwakilishi hadi Madiwani na aliwataka wananchi
na wanachama wa jimbo la kikwajuni kummiminia kura zote za ndio.
PICHA 9
Mgeni Rasmi akimkaribisha Mkuu wa Wilaya ya kinondoni na kumtaka
awasalimie wagombea na wananchi.
PICHA 10
Mkuu wa Wilaya wa kinindoni jijini
Dar salam ND: Paulo Mkonda akitoa nasaha chache katika mkutano huu.
PICHA 11
akiwauga mkono wagombea hao
PICHA 12
Wagombea wakiwa pamoja na wasanii
wakishuhudia kati harakati zilizoendelea uwanjani hapo
PICHA 14
Wananchama wa chama cha
mapinduziwakiwa katika burudani ya kushehereka katika mkutano huo
PICHA 15
Wagombea na wananchi wakiitikia dua
kwa pamoja baada ya kumalizika
kwa mkutano huo.
kwa mkutano huo.
PICHA 16
…………………………………………………………….
PICHA 17
Wanachama wakiwa katika picha ya pamoja na mgombea ubunge wa jimbo
hilo baada ya kumalizika kwa mkutano huo


No comments:
Post a Comment