Vile vile alichukuwa nafasi ya kumkaibisha Mwenye kiti wa Jimbo.
Mwenyekiti wa Jimbo la kikwajuni
MH: Mvita Kipendera akiwasalimia wana chama wa chama cha mapinduzi na kuwataka
wanachama kuwa wamoja katika uchaguzi mkuu wa 25 October na kutofanya makosa na
kuipoteza haki yao kwa kumchagua yule asie faa katika dira ya maendeleo.

















