Nitumeni niendelee kukutumikieni, AHADI KWA VITENDO. Imani, Nia thabiti,
Ukweli, Upendo, mashirikiano na mshikamano ndizo nguzo za maendeleo na
mafanikio ya jimbo letu La KIKWAJUNI na Zanzibar kwa ujumla. Mabadiliko
ya maendeleo huletwa nasi kwa pamoja tunaweza. Yalikuwa ni mashindano ya
kuhifadhi Qur-an tukufu yaliyoandaliwa na JUMUIA YA KUINUA JIPAJI VYA
KUHIFADHI QUR-AN JIMBO LA KIKWAJUNI.
Mh: ENG Masauni akiwa anatoa nasaha kwa vijana walio shiriki katika Mashndano ya Qur-an kushoto akiwa na Mh: Jazira Mwakilishi mteule wa jimbo la kikwajuni





No comments:
Post a Comment